Nafaka,
Nakubaliana na mada yako,
Wasafi tv kuanzia quality ie kimuonekano mpk content ktk vipindi vyao wanajitahidi sana!
Ukija kwa hawa Clouds wamefanikiwa sana ktk kuwa na program nzuri za Radio kuanzia maudhui ya vipindi, watangazaji wenye talents mpaka audience ya kutosha ila upande wa Clouds Tv bado hawajakaa wima hata kidogo, wameshindwa kuwa na vipindi mbalimbali ambavyo vimeteka audience na vikadumu kwa muda mrefu.
Kwa mfano kipindi cha Shilawadu kilitikisa sana lakn baada ya muda kimemeguka meguka na kugeuka kituko