Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili Kitenge, Edo Kumwembe na Ahmed Abdallah hawajaishia hapo baada hivi punde kumsajili mwanamama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian Mwasha kutoka Clouds FM ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi cha breakfast.