anaweza pia siku hizi fnl simuonagi anakuwaga t bway labda Leo yupo..Mara paaaaap sammisago nae kaibukia usafiniii
Kwanza nae simuonagi eatv siku hizi sijui yupo wapi.Mara paaaaap sammisago nae kaibukia usafiniii
Alikua anatangaza terminal Na haris kapgaInaonekana me nimeacha kusikiliza radio siku nyingi sana. Maana kwa kipindi hicho Lillian hakuwahi kutangaza breakfast.
By the way habari yako ipo juu juu sana.
mmmh hivi lillian Mwasha na uzee ule ataenda kuleta mabadiriko gani pale ya kiubunifu mtu mwenyewe kutw kuhangaika mara kaenda israel mara kawa mchungaji
Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
Haitanoga sasa wakijazana sehemu moja.. Hakutakuwa na jipyaWasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
Alikua anatangaza terminal Na haris kapga
Kila jamamos aiseee nlikua skos
Kumskiliza
Jamaa unampa t***u diamond?Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili kitenge,edo kumwembe na Ahmed abdallah hawajaishia hapo baada hiv punde kumsajili mwana mama machachari na mwenye sauti ya kuvutia Lilian mwasha kutoka clouds fm ambapo alikuwa ni miongoni mwa matangazaji wa kipindi Cha break fast.
Yule demu ana sauti nzuri, ila ana sura mbaya sijawahi kuona.Alikua anatangaza terminal Na haris kapga
Kila jamamos aiseee nlikua skos
Kumskiliza