Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi Titi na Nyerere ameiongea, interest yangu ni kwenye Agakhan kujenga shule za waislam, kama yupo humu atuambie, ni shule zipo aghakan za kiislam alizijenga, azitaje tu tuzijue. maana amesema agakan alijenga shule nyingi za waislaml tujuavyo, kama isingekuwa nyerere kupora shule za wakatoliki, waislam hadi leo wangekuwa hawana shule. Mohamed Said