Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Humfahamu huyo mzee,mzee anatumia ukweli kidogo kuchanganya na uongo mwingi wasio kuwa na akili ndio wataona yuko sawa ila huyo mzee ni mpotoshaji mkubwa na mharibifu mwenye malengo ovu.Mohamed Said anaongea ukweli usiopendwa. Wasafi ni media ngeni tu ndio maana imemkaribisha, ila itapigwa stop soon kumualika huyu Mzee. Ukweli wake unagusa sehemu mbaya.
tueleze basi, ni shule gani aghakan aliwajengea waislam. taja hata moja tu kwa kila mkoa. onyesha huo ukweli.Mohamed Said anaongea ukweli usiopendwa. Wasafi ni media ngeni tu ndio maana imemkaribisha, ila itapigwa stop soon kumualika huyu Mzee. Ukweli wake unagusa sehemu mbaya.
kuna vikabrasha aliviandikaga huwa anaamini ni vitabu sasa anataka kumuaminisha kila mtu uongo aliouandika mle ndani. utafikiri alikuwa wamekaa meza moja na hao aliowaandika, kumbe ni story za wacheza bao na wala ubwabwa wa uswahilini tu. uongo mtupu, na kutaka kuchafua umoja wa kitanzania uliodumu kwa miaka mingi. imagine huyu babu angekuwa rais, nchi hii ingekuwa afghanistan.Humfahamu huyo mzee,mzee anatumia ukweli kidogo kuchanganya na uongo mwingi wasio kuwa na akili ndio wataona yuko sawa ila huyo mzee ni mpotoshaji mkubwa na mharibifu mwenye malengo ovu.
Anapaswa kupuuzwa kwa kila namna.
zipi zitaje, halafu orodhesha na shule za wamisionari ambazo serikali ilipora pia. anza na Tosamaganga, Ndanda, kigonsera, n.kAgakhan shule zao zipo ama serikali imezipora?
Huyo mzee hamnazo, ana mtazamo wa hovyo sana, kwani nchi inaongozwa na dini au katiba?Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi Titi na Nyerere ameiongea, interest yangu ni kwenye Agakhan kujenga shule za waislam, kama yupo humu atuambie, ni shule zipo aghakan za kiislam alizijenga, azitaje tu tuzijue. maana amesema agakan alijenga shule nyingi za waislaml tujuavyo, kama isingekuwa nyerere kupora shule za wakatoliki, waislam hadi leo wangekuwa hawana shule. Mohamed Said
Wewe ndiyo mwehu.Huyo mzee hamnazo, ana mtazamo wa hovyo sana, kwani nchi inaongozwa na dini au katiba?
Hawezi kumpita babako kwa upumbavu mkuu...Moja kati ya watu wapumbavu kuwahi kutokea kwenye hii nchi mmoja wapo ni hicho kizee mdini kupita kiasi yeye kila siku mada zake waislamu walionewa hivi waislamu walionewa vile upumbavu mtupu pumba kabisa 🚮🚮🚮