marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo chao cha huduma kwa wateja hasa upande wa wadada ni watu wenye kauli chafu na za kuudhi kwa wateja. Wengi wao inaonekana hawajui kanuni za betting wala sheria zake. Kiufupi wameajiri watu wasiojua betting ni nini mpaka unajiuliza km kampuni imeajiri kwa upendeleo wa ndg au kwa rushwa ya ngono? Kuna wengine huenda mbali na kusema hawawezi kufanywa chochote!
Cha pili, ni pale mkeka umeshinda wanaamua kuvoid ili kumuibia mteja km ushahidi chini unavyoonesha. Ila mechi ulizoliwa hawazifuti
Cha pili, ni pale mkeka umeshinda wanaamua kuvoid ili kumuibia mteja km ushahidi chini unavyoonesha. Ila mechi ulizoliwa hawazifuti