Wasafii Crew wang'aa tuzo za AEA

Wasafii Crew wang'aa tuzo za AEA

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Msanii Diamond Platnumz ameipeperusha vizuri zaidi bendera ya Tanzania Kwa Kufanikiwa Kubeba Tuzo Mbili - African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20, New Jersey Nchini Marekani.

#DiamondPlatnumz Amefanikiwa Kubeba Tuzo ya Best Collaboration Of the Year Kupitia Track Aliyofanya na Msanii Kutokea Nchini Marekani omarion Uitwao #AfricanBeauty lakini Pia Amefanikiwa Kubeba Tuzo ya Msanii Bora wa Mwaka wa Kiume Africa Yaani 'Best Male Artist of the Year' Katika Tuzo Hizo
.
Another One Katika Muziki wa Bongo Fleva, @rayvanny amefanikiwa Kushinda Tuzo ya 'Best Vocalist of the Year' Kwenye Tuzo za African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20 huko New Jersey Nchini Marekani.

Katika Orodha Hiyo Iliyotolewa na @aeausa #RayVanny Ametajwa Kama Best Vocalist Kwa Mwaka 2018 Huku Akiipeperusha Vizuri Bendera ya Tanzania Kwa Kunyakua Tuzo Hiyo

Official Dj wa Msanii Mkubwa Kwenye Industry ya Muziki Barani Africa @diamondplatnumz , The International Celebrity Dj @romyjons amefanikiwa Kushinda Tuzo ya Dj Bora wa Mwaka Yaani 'Best Dj of the Year' Kwenye Tuzo za African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20 huko New Jersey Nchini Marekani.

Kupitia Page yake ya instagram, Rj The Dj ameweka Picha Inayoonesha Tweet Kutoka Kwenye Page Maalum ya Tuzo Hizo Huku Akishukuru Mwenyezi Mungu Kwa Mafanikio Hayo Makubwa Katika Career Yake

Hiki ni Kitu Kikubwa Sana Kwa @romyjons Kwa Jinsi Alikuwa Akishindana na Majina Makubwa Katika Tuzo Hizo na Kuwapiga Chini Dj's Wengine Kama Vile @djspinall @djcremedelacreme @djmaphorisa @dj_tunez na Wengineo ambao walikua katika Category Yake.

All the way Kutoka Label ya Muziki Hapa Nchini @wcb_wasafi , Dancer @hbaajuni amefanikiwa Kushinda Tuzo ya Dancer Bora wa Mwaka Yaani 'Best Dancer of the Year' Kwenye Tuzo za African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20 huko New Jersey Nchini Marekani.

Kupitia Page yake ya instagram, Ameweka Tweet Kutoka Kwenye Page ya @aeausa Iliyoelezea Kuwa HBaajuni Ni Mshindi Kwenye Upande wa Dancers

Kwanza kabisa nikushukuru M/Mungu pili niwashukuru wote walioweza kunipigia kura mdogo wenu kaka yenu rafiki yenu ndugu yenu kwa furaha niliyonayo dah[emoji1317][emoji1317][emoji1317] #WCBFORLIFE[emoji123] Thanks @aeausa[emoji120][emoji120][emoji120] - Ameandika Hivyo @hbaajuni
.
.
 
"Kwenye Tuzo za African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20 huko New Jersey Nchini Marekani."

Paragraph ya kwanza, ya tatu na ya nne zote umemalizia hivi! Waombe hao maboss zako wakurudishe shule
 
Inasikitisha Harmonize hajashinda tuzo yoyote
 
Back
Top Bottom