Wasafirishaji abiria na hali mbaya ya vyombo vya usafirishaji

mwanamanzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2017
Posts
270
Reaction score
354
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.

Mada kuu ni hali ya baadhi ya vyombo vya usafirishaji vinavyohatarisha usalama wa abiria.

Picha chini ni sehemu ya seat ya abiria kwenye daladala ambapo mabati yamekatika na yameachwa kiasi kwamba ni hatari kwa abiria si tu endapo itatokea ajali bali hata ukigusa tu kwa bahati mbaya.

Jamani hii ni biashara kama biashara zingine kuiweka katika hali nzuri ni sehemu ya huduma Bora kwa wateja!

 
Tulieni nyie mbona hivyo vyombo vipo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…