Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,920 Dec 31, 2018 #1 Wakuu naomba kama kuna mdau anawafahamu Wasafirishaji waaminifu walio na ofisi katika maeneo ya Mbezi hadi Kibaha anisaidie nina mizigo michache nataka kuisafirisha. Natanguliza shukrani za dhati
Wakuu naomba kama kuna mdau anawafahamu Wasafirishaji waaminifu walio na ofisi katika maeneo ya Mbezi hadi Kibaha anisaidie nina mizigo michache nataka kuisafirisha. Natanguliza shukrani za dhati