Wasagaji na mashoga

Chimbinga

New Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Sorry kwa inayo muhusu bali huu ni mtazamo wangu kwani naamini wanafanya hivyo? kwa mtazamo wangu hawa watu hadi wamefikia hapo ni kwa sababu hizi

1.Tamaa ya pesa
2.Kupenda kuiga mambo kwa watu wengine
3.Wavivu na wazembe wa kufanyakazi

Waungwana mnalionaje hili hawa watu mnawachukuliaje katika jamii yetu ya Kitanzani?
 
wewe upo kundi gani kati ya hayo mawili?
 
Hakuna hata moja kati ya hilo ukosaji wa akili tuu
 
Waambie wasanii wako na waache kuigaiga hovyo,kusuka na kuvaa hereni ni Tabia za kishoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…