Wasaidie hawa jamaa!

watafanyaje eti ili watoke... wakijiongeza tu... wakanyagane vichwa... waache mabega... kudadadadeki
 
Yule wa juu amkanyage kichwa kuongeza urefu, akifanikiwa kutoka mmoja tu inabidi avue tshirt kufanya kamba na wenziwe wafanye hivo, bila shaka soon tutakuwä nao uraiani kulijenga taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…