Tanzania 1
Senior Member
- Oct 4, 2007
- 197
- 25
Heshima kwenu wakuu,
Kuna watoto wanatoka Uingereza wanataka kupiga picha na akina Masanja wa iliyokuwa "Ze Comedy". Anayeweza kuwasaidia hawa watoto jinsi ya kuwafikia "Ze Comedy", naomba anitumie PM.
Ahsanteni!