Mathematician JF-Expert Member Joined Nov 8, 2009 Posts 327 Reaction score 109 Jan 28, 2011 #1 Thinkers naomba tuwe tunaupload wanaoitwa kwenye usaili, tutakuwa tumewasaidia kwa kiwango kikubwa wale wasio na uwezo wa kununua magazeti kama vile inavyokuwa msaada mkubwa kwa wanaotafuta kazi. Naamini hapa ndio mahali pake.
Thinkers naomba tuwe tunaupload wanaoitwa kwenye usaili, tutakuwa tumewasaidia kwa kiwango kikubwa wale wasio na uwezo wa kununua magazeti kama vile inavyokuwa msaada mkubwa kwa wanaotafuta kazi. Naamini hapa ndio mahali pake.