Wasalaam

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
Nimekuwa member mpya, naombeni ushirikiano wenu.
 
karibu sana. ila jitahidi kuvumilia matusi kwenye jukwaa hili hasa ukiwa against na chadema
 
Karibu sana!
Jihadhari na wauzaji na walamba sembe wa humu jamvini!
Kazi yao kusifia wizi,ufisadi,rushwa,mauaji,kubabikia watu kesi na mengine malizia mwenyewe!
 
Nimekuwa member mpya, naombeni ushirikiano wenu.
Kamba bado iko miguuni au umeiondoa? Karibu. Hakikisha unajua sheria zote za JF na kama ulishawahi
kuwa mwanachama wa fb, mambo ya fb huku hatuyataki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…