Wasalam, wakuu naombeni kujua gharama za miamala ya NMB (ATM)

Wasalam, wakuu naombeni kujua gharama za miamala ya NMB (ATM)

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
79
Reaction score
116
Sina ujuzi au uzoefu wa kiwango gani mteja anakatwa kutoa pesa kwa ATM ya benki ya NMB au CRDB, Anayejua naomba msaada.
 
Makato yanategemea na aina ya account yako. mfano makato ya personal account n tofaut na makato ya chap chap account.

Ukitaka kujua makato fanya hv;sku ukienda kutoa pesa ATM, record kias kilichobakia kwny account(K1) afu sku ukienda tena kutoa pesa record kias kilichobaki.(K2)

Then toa k1-K2. jbu utalopata liandke sehem.

Then angalia je ATM umetoa sh ngap sku hyo?.
chukua jbu ulilopata hapo juu then toa na pesa uliyotoa ATM. jibu utalopata ndo makato
 
Kwa NMB wanakata 1000 Kama utatoa pesa kwa ATM ila CRDB wanakata 1200 na ukitolea ndani NMB wanakata 6000.
 
Naomba niongeze swali, kiwango chajuu kutoa kwenye ATM kwa siku ni kiasi gan!?
 
Vipi na kuhamisha pesa kutoka nmb kwenda kwenye simu gharama zake ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom