Mkuu hii 6000 ni kweli?Kwa NMB wanakata 1000 Kama utatoa pesa kwa ATM ila CRDB wanakata 1200 na ukitolea ndani NMB wanakata 6000.
Ukitolea ndani lakini make nimekua nikitolea ndani muda mwingiMkuu hii 6000 ni kweli?
NMB ukitolea ndani wana makato makubwa kama wanakukomoa vile.Mkuu hii 6000 ni kweli?
Mkuu niliambiwa 2000.NMB ukitolea ndani wana makato makubwa kama wanakukomoa vile
Kwa wakala nako makato n juuMkuu niliambiwa 2000.
Vp nikitolea kwa wakala?
1,000,000Naomba niongeze swali, kiwango chajuu kutoa kwenye ATM kwa siku ni kiasi gan!?
Bank gan hyo mzee na mara ya mwisho kutoa hcho kias ilikuwa lini?1,000,000
Aina gan ya account?Nmb atm Ni Tsh 1,271.19 kwa muamala mmoja usiozidi 400,000
NMB ila unatoa 500,000 mara mbili. Mara ya mwisho ilikuwa mwezi April.bank gan hyo mzee na mara ya mwisho kutoa hcho kias ilikuwa lini?
Saving account.aina gan ya account?