D Domo Zege JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 692 Reaction score 228 Dec 16, 2011 #21 Aibu sana, hivi rais wa Daruso anaitwa nani?,Namkubuka Mwita Mwikwabe akiwa rais ushenzi kama huu haukuwepo.Kuna kipindi bod ya mikopo ileleta rongorongo kutoa pesa akaja Mkono kutuliza tifu alichokipata hatasahau maishani mwake
Aibu sana, hivi rais wa Daruso anaitwa nani?,Namkubuka Mwita Mwikwabe akiwa rais ushenzi kama huu haukuwepo.Kuna kipindi bod ya mikopo ileleta rongorongo kutoa pesa akaja Mkono kutuliza tifu alichokipata hatasahau maishani mwake
ZEE BABA Senior Member Joined Jan 19, 2011 Posts 169 Reaction score 59 Dec 16, 2011 #22 njaa mbaya ,,vijana wengi hawana msimamo ,,vijana wamejaa maisha ya ndoto kuliko uhalisia ,vijana hawaaminiki.......
njaa mbaya ,,vijana wengi hawana msimamo ,,vijana wamejaa maisha ya ndoto kuliko uhalisia ,vijana hawaaminiki.......
I ibontoko Member Joined Oct 31, 2011 Posts 62 Reaction score 14 Dec 17, 2011 #23 Bora hata UDOM walikaza wenzao walivyotimuliwa kuliko UDSM walivyolegea! Ndhani CAMEROON ameingia UDSM si bure...
Bora hata UDOM walikaza wenzao walivyotimuliwa kuliko UDSM walivyolegea! Ndhani CAMEROON ameingia UDSM si bure...
Kijuche JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 418 Reaction score 36 Dec 17, 2011 #24 ibontoko said: Bora hata UDOM walikaza wenzao walivyotimuliwa kuliko UDSM walivyolegea! Ndhani CAMEROON ameingia UDSM si bure... Click to expand... Du! hii kali kwelikweli.
ibontoko said: Bora hata UDOM walikaza wenzao walivyotimuliwa kuliko UDSM walivyolegea! Ndhani CAMEROON ameingia UDSM si bure... Click to expand... Du! hii kali kwelikweli.
R Rushdie jr Member Joined May 14, 2011 Posts 41 Reaction score 3 Dec 18, 2011 #25 bush ndo msaliti usiseme
N Nyadunga Senior Member Joined Aug 12, 2011 Posts 107 Reaction score 64 Dec 20, 2011 #26 Hata UDOM wanajitahidi! Kweli UDSM wameasiwa HAWANA nguvu tena wasubiri machungu zaidi