Wasamaria wema watoa msaada wa vyakula kwa watu walio katika Karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM

Wasamaria wema watoa msaada wa vyakula kwa watu walio katika Karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM.

Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata fedha ya chakula so wakaamua kuchangishana na kuwapelekea chakula cha siku chache.

Source ITV habari!
 
Back
Top Bottom