Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kwa kweli zimekua kero last time kutumia zilinishinda ikabidi niuze mechi lakini nilitumia mafuta.
Malalamiko yamekua mengi sana. Ni nzito na hazina flavor. Tunajua zinatolewa bure lakini wahusika wajitahidi kuboresha ubora kidogo