S Sharahange Member Joined Nov 24, 2013 Posts 26 Reaction score 3 Apr 30, 2019 #1 Habari wadau, kwa yeyote anayejua wasambazaji na wauzaji wa mbolea na sumu za kuulia wadudu pamoja na sumu kwa ajili ya kuua magugu shambani kwa bei ya jumla, anijuze tafadhali.
Habari wadau, kwa yeyote anayejua wasambazaji na wauzaji wa mbolea na sumu za kuulia wadudu pamoja na sumu kwa ajili ya kuua magugu shambani kwa bei ya jumla, anijuze tafadhali.