Wasanii 10 wa filam na Muziki wenye mafanikio Bongo

kanumba no.1 kwa umaarufu kitaa akifuatiwa na mr 2 kisha prof jay waliodum kweny game kwa muda mrefu.
 
haha! mzee yusuf no. 1 , maajabu!! huku ni kupeana promo!!!
 
haaaaa yakweli hayo?
jamani eh huyo mzee yusuf anastahili namba moja nakaa nyumbani huku ana scania kama uchafu!nyumba ndo ucseme!maduka kibao!hotel 3 star mbili!ila huwa apendi kujisifia
 
mmh,kuna wasaniii wamedumu ktk fanii,na kazi zao zlikubalika kuliko kna diamond,hebu mchek ferooz tang daz nundaz,j.nature,a.y,prof jay,mwana f.a n.k,then tafakar kwann wastutajie vwango halis va fedha zao sahh?,mi nahis hawa wameangalia wauza swaga na sura wanaoinuliwa na media tu,scandal kibao
 

hii list yako mkuu,mmh!ray c wapi na wapi sasa?labda mapouda!
 
Mhhh kwa ray c na mzee yusuf napata kugugumizi...
 
NAZAN KUNA WASANI WENGINE WANA VYANZO BINAFSI ZAID YA MZIKI ndo maana hawajawaweka kipaumbele
 
Kwahiyo AY ana mafanikio kuliko profesa J?UPUUZI HUU
 
Wamewekwa randomly au ni kwa kufuata anayeongiza kwa mafanikio then wanaofuatia au ni vipi?
Mbona haijakaa vizuri!
 
Ray c? kweli walitumia kipimo cha kupimia matetemeko ya ardhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…