Wasanii 2O wakatwa katika list ya wasanii wa kutumbuiza kwenye Fiesta Dar

maskini chid benzi angepata hata hela ya kununua dawa na kunywa uji arejeshe afya.muathirika wa unga na HIV mnampa tena stress sio fair
Umemkosea king kong .....soma na uelewe
 
maskini chid benzi angepata hata hela ya kununua dawa na kunywa uji arejeshe afya.muathirika wa unga na HIV mnampa tena stress sio fair
Mkuu ni Chin Bees sio Chid Benz. Mwangalie kuanzia sekunde ya 10 hadi 11 (00:10 to 00:11min) huyo dogo
 
maskini chid benzi angepata hata hela ya kununua dawa na kunywa uji arejeshe afya.muathirika wa unga na HIV mnampa tena stress sio fair
Mtoto wa kike ukikosa stara ni shida kwa jamii
 
maskini chid benzi angepata hata hela ya kununua dawa na kunywa uji arejeshe afya.muathirika wa unga na HIV mnampa tena stress sio fair
Lulu diva si alikua juzi nae akijinadi maana wiki hii wasanii walikua wanakuja kuja mawingu
 
Ila ile ni show Kali so inatakiwa kuwepo wasanii ambao wataendana na burudani ikiopo mfano utamuondoaje rosta(Roma &stamina ) piaasilaumiwe Ruge ni muda ndo sio rafiki maana kila mtu alitamaniwa kuwepo ila masaa6 utamueka nani
 
Ila bora mgao wake unabaki maana hao 20, wangelipwa na idadi ya ile ile ya watu wanaoingia. Kwahio waliokatwa ni wasanii sio waburudikaji
 
Madaraka yanamwishooo ati
 
Ahaaaaaaa ila inaezekana alishaambiwa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…