Wasanii ambao hata watoe nyimbo unajua tu hamna kipya

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
1.Roma Mkatoliki,..beats zake karibia zote sawa,nyimbo zake zote ujumbe sawa(harakati)

2.Izzo Bizness yaanii huyu beats zinafanana kila wimbo,mfano chorus ya wimbo mmoja unaweza kuimbia nyimbo zake
zote bila tabu.

3.AY,huyu ndo hana kipya style ile ile,mfano video ya leo na nyimbo baada ya hapo kitu kile kile hamna kipya.

4.Tuda man,huyu hata huwezi kujua analia au anaimba,iwe wimbo wa starehe kama analia tu.

5.Stamina (huyu atachokwa mda si mrefu anadhani misamiati ndo kuwashika watu

6.Young Killer asipoimba bongo fleva hatadumu.

7.Linex nyimbo zake hamna tofauti,kinachomfanya asikike ujumbe wa nyimbo zake.

8.Ben Pol huyu naye hana kipya
 
Cdhan kama kuwajaji wasanii hao kwa mdundo na melody ni sawa,cha muhimu ni ujumbe uliomo ndani,na hio ndio tofaut kati yao na wengine....
 
Hata Q-Chief ukikusanya nyimbo zake zote ni km wimbo mmoja, hanaga jipya yule dogo!
 
Tunda man ndio Baba lao wote hawezi kuimba hata wimbo wa taifa me naona analazimisha vitu asivyoweza awe mshabiki tu.
 
wote hapo baba yao tunda ni shida cjuagi anaimba nn alafu nilimskia anataka kifungua bendi cjui itakuaje. si lazima wote tuimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…