Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
1. Martin Kadinda

Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.

2. Salama Jabir

Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.

3.Ben Pol

mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.

4. DJ Fettty

Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa

5.Millard Ayyo

Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani

6. B 12

Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.

7. Adam Mchonvu

huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.

8.Ally Rehmtulah

Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.
 
Namba 5. Millard Ayo alikuwa na girlfriend waliodumu miaka 3 since 2009 wakaja kuachana mwaka 2012 baada ya kugundua gf wake anamcheat na best yake aliumia sana na alishawah kuandika kama stori fb kuomba ushauri ila hakujitaja kuwa ni yeye na mwaka jana alipoulizwa kwenye Mkasi tv na Salama akasema kwa sasa yupo single na ex wake hata salama anamjua.
 
Namba 6. Hamisi Mandi a.k.a B12 pamoja na kashfa zinazomuandama na kuimbwa na Vinega kwenye ant-virus kuwa ni ..... Naye ana mpenzi wake na ukiangalia account yake ya insta both yeye na girlfriend wake wanajionyesha adharani pia ana mtoto wa takriban miaka 4 aitwae Jermaine Hamis Mandi aliye zaa na airhostess wa Precision air aitwae Janeth Nyambo baada ya kuachana sasa yupo na girlfriend mpya ambaye naye anawatoto wawili mapacha.
 
Namba 7. Adam Mchomvu huyu hata ajifichi anamchumba ake anayeishi nae pamoja anayejiita Aisha Mchomvu au Mama Joniii pia Adamu alimuimba kwenye ule wimbo aliourudia wa Aisha. Adam na Aisha pia mapenzi yao yako hadharani kwani kwenye matukio mengi kama KTMA, MissTz n.k Adam na Aisha wamekuwa wakiongozana pamoja.
 
Design watangazaji wengi wa clouds wana watu wao tho hawapendi kujitangaza mpka wakizaa watoto ndio uwaumbua mf NchaKali na Dina tho Dina alikuwa anajitahd sana kufcha but ilikuwa inajulikana, Diva tu ndo akidate kila mtu atajua kama sasa anavyodate na Crazy GK.
 
Ben paul alikuwa anadate na kdent cha ifm doz days

Adam mchomvu anadem ake anaitwa Aisha alishamtungia hadi wimbo
Salama......mlaji
Dj fett......alikuwa anadate na giz mabovu


Sent from my iPhone using JamiiForums.����
 
Yah t was doz days nlipokuwa napenda penda kula bata na wasaniii ndo nliipozpata hzo,,,,


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Yah t was doz days nlipokuwa napenda penda kula bata na wasaniii ndo nliipozpata hzo,,,,


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Zip izo mkuu
 
Mwana FA hivi ana mpenzi au ameoa??maana nasikia huyu jamaa age ameenda sana
 
Huyo anamtoto.....


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mie cjawah sikia wala muona dem wa Prof Jay,jaman mwenye info juu ya huyu jamaaa aziweke hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Vipi kuhusu Ben kinyaia??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Kweli huyu Mchomvu Na Aisha Wako Wazi Tuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…