Wasanii barani Africa wenye followers wengi instagram

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Kwa mujibu wa tafiti zangu nilizofanya nimegundua hawa ndio wasanii wenye followers wengi instagram

1πŸ˜€avido



2πŸ˜€iamond Platnumz



3:Wizkid




4:Tiwa Savage




5πŸ˜€onjazzy



6:Shillole




7πŸ˜›atoranking



8:V Money




9πŸ˜›eter Okoye



10:Lina

 

Attachments

  • 1474241032024.jpg
    41.7 KB · Views: 54
Wee mbona kuna msanii simuoni hapo !!? Watu wake wakija utakoma.

Halafu haya mambo ya sosho netiweki yasi wasumbue sana, kila nchi ina mtandao unao pendwa zaidi. wabomgo mnatisha insta kwa sababu ndio wengi hutumia hivo
Kenya wao wako Twitter sana, ambayo wabongo hatuwezi ki ukweli.
So ni vema uandae ambaye ana kimbiza kote , twittwer, insta na fb
Ili tujue nani ana followers wengi hasa hasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Insta kweli ya kiswahili hadi shishi baby, mbaya zaid hadi bibi linah ako top 10.

Ebu hance rudia research hiyo
 
Kibakuli hana wafuasi wengi anazidiwa hata na shilole na lina


huyu hapa kibakuli
 
Kibakuli hana wafuasi wengi anazidiwa hata na shilole na lina


View attachment 402838huyu hapa kibakuli
Nyaahahahahahahaaaaaa!
Sasa kelele zote zile humu watu huwa wanatoa wap hata hizo nguvu za kubishana!!?

Ebu fuatilia labda atakuwa amejikita sana twitter na db c unajua ye anapendwa Kenya pia

Ngoja nilale ntalishughulikia keaho hili jambo!!
 
Instagram wabongo ndo wanaongoza kwa follower..
hao wasanii tu wa muziki...
wakija na waigizaji na wasanii tu wasio eleweka....
hio top 10 itajaa wabongo
 
Tz tunatumia sana insta lakini twitter hatutumii kivile thus mbongo wa kwanza ana follower 3 laki
 
Ninachojua kuconduct research yoyote inatakiwa gharama, ni nani alikulipa kufanya research hii!? Bongo bwan, eti mtu ana followers 2.4m but 'following' only 4 wakati wenzenu wana followers 1.5m na 'following' 5,000! Learn something.
 
View attachment 402836

Mtoto wa Morocco huyu ndio msanii mwenyewe followers wengi insta.

Hatahivyo Hitler alikua na followers wengi kumzidi Yesu ila nadhani Unajua nani ni Bora.
Umemuumbua mleta thread,,nadhan kaangalia wasanii anaowafahamu yeye tu na sio msaada kutoka vyanzo vngine
 
Diamond azidi kuongeza idadi ya followers na kumsogelea kwa karibu davido

 
Followers makini wako twitter, mkuu hanc mtanashati hebu nenda twitter utuletee mrejesho nani anaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…