Wasanii bongo-flavour Jifunzeni Kwa "WAPOO"-NEY

Mwene chungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
915
Reaction score
752

Asilimia karibu zaidi ya 90 wasanii wa bongo flavour hujikuta wote wanaimba nyimbo nyiingi zinazofanana mlengo,na hii hutokea kwa sababu KARBU WOTE HUIMBA KUHUSU MAPENZI..na huwa wakiulizwa wanadai eti wanaangalia sisi hadhira tunapenda nini.

Lakini ukweli ni kuwa sio kweli kuwa hadhira sisi tunapenda nyimbo za mapenzi tu bali nyimbo zinazogusa nyanja zote za maisha ya binadamu ilimradi tu uguse hisia za mwanadamu wimbo huo utapendwa tu..

Jifunzeni na someni nyakati Angalia kwa mfano wimbo huu wa NEY PAMOJA NA KUWA NA LUGHA KALI KIDOGO LAKINI NDIO HALI ILIYOPO KWA SASA KWANINI USIPENDWE?..

Watu kama

LUCKYDUBE,MICHAEL JACKSON nk HAWAKUIMBA MAPENZI SANA LAKINI HADI LEO WAMEKUFA KIMWIILI KIMUZIKI BADO WAKO HAI.

INAPENDEZA SANA KUSIKILIZA WIMBO WA MAREHEMU AKIWA AMEIMBA MAMBO Mema NA SIO MAPENZI huwa nyimbo zingine zinawahukumu wasanii wenyewe..

Jifunzeni ili mje muishi pamojana vizazi vijavyo kimuziki..
 
Sasa mkuu baadhi yao ubwabwa...lazima waimbe mapenz, starehe na ngono ili ktk video wakate mauno vizuri kwaajili ya promotion ya bidhaa zao.
 
Ila ukweli utabaki hivyo...kwamba nyimbo zinazochochea hisia za ngono ndio zinauzika zaidi. Sababu kubwa ni kwamba soko kubwa la aina ya muziki wa Tz ni vijana wa umri wa kubalehe.
 
Asante Sana, Mwanamzk Anaye Andika Love Song Tu, Pia Upeo Wake Wa Kuona Mbali Ni Mdogo, Ndo Maana Anafocus Nyanja Moja. Nakumbuka Album Ya Bob Marley Ya Mwaka 1979 Iitwayo Sarvivor, Wakati Inaandaliwa Wimbo Wa She's Guda Ulikuwemo Kwenye List Lkn Bob Aliwagomea Producers Wasi Include Ule Wimbo Kwakua Hakutaka Love Song Yoyote Kwenye Ile Album
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…