Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,060
wadau wengi wamekuwa wakiwalalamikia wasanii wetu hasa kwenye social networks kama Jamii forums, Fb, Tweeter e.t.c, wamekuwa wavivu kujitokeza, na hata wakijitokeza huanzisha mada na kukaa kimya bila kuchangia, wao furaha yao ni kuona watu wanacoment kwenye topic zao, ila ikitokea ukamuuliza swali hajibu.
kwa mfano hapa Jf ni lini watajisajili kama verified member, maana JF ni mtandao mkubwa E. africa na Africa, nadhani ingekuwa vyema kwao kukaa karibu na fans wao.
nawasilisha.
kwa mfano hapa Jf ni lini watajisajili kama verified member, maana JF ni mtandao mkubwa E. africa na Africa, nadhani ingekuwa vyema kwao kukaa karibu na fans wao.
nawasilisha.