Wasanii Bongo ni mzigo kwenye social networks

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,060
wadau wengi wamekuwa wakiwalalamikia wasanii wetu hasa kwenye social networks kama Jamii forums, Fb, Tweeter e.t.c, wamekuwa wavivu kujitokeza, na hata wakijitokeza huanzisha mada na kukaa kimya bila kuchangia, wao furaha yao ni kuona watu wanacoment kwenye topic zao, ila ikitokea ukamuuliza swali hajibu.

kwa mfano hapa Jf ni lini watajisajili kama verified member, maana JF ni mtandao mkubwa E. africa na Africa, nadhani ingekuwa vyema kwao kukaa karibu na fans wao.
nawasilisha.
 
umeongea ukweli sana,nafikiri watapata huu ujumbe na watachukua hatua.
 
hivi huyo msanii unayetaka aje jf unamtakia mema? hivi unadhani hawachugulii? unadhani hawaifahamu jf na watu wa jf? hakika msanii hawezi kuja hapa.
 
wanajibu kupitia Shigongo media,hapa ni kina kirefu.....kwa kifupi Mastaa wa Bongo na Jf ni sawa na Kumpa Abbott mtoto wa Kindergarten asolve.
 
hivi huyo msanii unayetaka aje jf unamtakia mema? hivi unadhani hawachugulii? unadhani hawaifahamu jf na watu wa jf? hakika msanii hawezi kuja hapa.

wataogopa mpaka lini? hata wanasiasa ilikuwa hivi hivi lakini siku hizi wale wanaoamini ni wasafi wanafurahia kuwa karibu na jamii
 
wanajibu kupitia Shigongo media,hapa ni kina kirefu.....kwa kifupi Mastaa wa Bongo na Jf ni sawa na Kumpa Abbott mtoto wa Kindergarten asolve.

mkuu unamaanisha kumpa mwanafunzi wa bookiping umpe maswali ya kwenye kitabu cha catas asolve?
utaogopa mpaka lini waje tuwafunze taratibu,
 
hivi huyo msanii unayetaka aje jf unamtakia mema? hivi unadhani hawachugulii? unadhani hawaifahamu jf na watu wa jf? hakika msanii hawezi kuja hapa.

Hah hah hah yaani JF ni Dawa kwelikweli nimeamini.
Msanii anaweza akaanikwa FB huko akajionea ufahari tu...
Ila ngoja asikie kaanikwa JF...laazima povu limtoke
 
kama msanii niliwahi kujaribu kupost mambo humu ndani niliambulia matusi, hii ndio post yangu ya kwanza kwa miaka miwili
 
kumpiga BAN Matola ni sawa na kumfunika Nyuki kwa Tenga...atatoka tu

kuna yule msanii wa bongo movies alijoin
hum sijui kapotelea wapi siku hizi......
maana una siku walimshambulia lol

btn Matola akitoka kifungoni atakushukuru sana,
kisa cha kupigwa BAN ni nini!!!!!!
 
wengi wao hawajapiga book so wanaogopa hizi challenge za jf maana hapa ni logic 2 na ukispeak pumba hakuna kuku hapa utashambuliwa sana? We jiulize wataweza kweli kujibu maswali yetu kwa ufasaha ikiwa gage kichwani mwao inasoma 360 alcohol!
 
kuna yule msanii wa bongo movies alijoin
hum sijui kapotelea wapi siku hizi......
maana una siku walimshambulia lol

btn Matola akitoka kifungoni atakushukuru sana,
kisa cha kupigwa BAN ni nini!!!!!!
Am here my dear Beautiful onyenye......

Kumpiga chura teke ni kumuongezea speed!
 
kumpiga BAN Matola ni sawa na kumfunika Nyuki kwa Tenga...atatoka tu
Kamanda Jenerali Gang Chomba, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Kuna series inaitwa IRIS si kawaida niliangalia season 1 na season 2, sasa zimetoka season 3 na season 4 ndiyo ya mwisho, mapumziko yangu weekend hii nitatumia muda mwingi kuziangalia ili nizimalize, nakushauri upate nakala zako, hii series hata Prison Break ni cha mtoto kabisa.
 
Last edited by a moderator:

mkuu Matola kwanza karibu tena, kwa kuwa umeilinganisha na prison break nitaitafuta kesho ndugu
 
Last edited by a moderator:
mkuu Matola kwanza karibu tena, kwa kuwa umeilinganisha na prison break nitaitafuta kesho ndugu
Hakikisha unapata season zote 4, utashangaa kwamba Hollywood kumbe ni jina tu mziki wa South Korea ni funga kazi.

Mwanzo zilitoka season 2 tu na niliamini ndio mwisho wa mchezo lakini leo nimeanza season 3 ni balaa mpaka inashangaza hawa watu wanawezaje kufanya kitu kila episode inayokuja inakuwa tamu kuliko zilizopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…