patrickkkkky
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 468
- 286
Nilikua nafuatilia Sporah show ya mdada Recho a.k.a Recho mapenzi, yaani hana answering skills kabisa, hajui kujieleza, anauliza maswali mengi kama yeye ndio ana host show.
Nilipochoka ni pale Sporah alipomuuliza tofauti na mziki unapendelea kazi gani nyingine akajibu KWENDA BEACH! wtf??
Hawa wasanii wetu kichwani hamna kitu. Ningekua host ningemfukuza, kama mbaya acha iwe mbaya.