patrickkkkky
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 468
- 286
ha ha ha... Hata walioenda shule wengi hawajiwezi.
mkuu nini kinaweza kua tatizo?
Nilikua nafuatilia Sporah show ya mdada Recho a.k.a Recho mapenzi, yaani hana answering skills kabisa, hajui kujieleza, anauliza maswali mengi kama yeye ndio ana host show.
Nilipochoka ni pale Sporah alipomuuliza tofauti na mziki unapendelea kazi gani nyingine akajibu KWENDA BEACH! wtf??
Hawa wasanii wetu kichwani hamna kitu. Ningekua host ningemfukuza, kama mbaya acha iwe mbaya.
Ktk msiba wa KANUMBA pale SINZA, muda wote wa msiba STEVE NYERERE alikuwa ktk hali yake ya kawaida tu, mcheshi kwa sana! Ghafla alipoingia JK, steve Nyerere akaanza kuangusha kilio! Kilio cha zaidi ya mtu aliefiwa na ***** ama mke! Steve Nyerere akaanza kugalagala, mbele ya rais! Akalia!
Akalia!
Akagalagala!
Akazimia!
Mara baada ya rais kuondoka, akarudia hali yake ya kawaida!
Kuanzia pale nikawa Nimeshaelewa kuwa ubongo wa wasanii wengi sana hauko sawa!
sikumbuki kama ni wolper au uwoya aliwahi kusema kuwa hawez kuigiza nafasi ya msichana wa kazi za ndani katika filamu yoyote....nikajiuliza hivi hajaangalia muvie ya maid in manhatan ya j lo alioigiza kama bar maid?? au sinema ya smith ya pursuit of happiness jins smith alivoigiza kama mtu wa chini sana??? na hao ni mastaa wakubwa duniani lakin kunako kazi wanaigiza nafasi yoyote tu mrad wanaitendea vyema..sasa wewe msanii wa bongo una nini?? daaahh hekima kitu muhimu sana aisee
Ktk msiba wa KANUMBA pale SINZA, muda wote wa msiba STEVE NYERERE alikuwa ktk hali yake ya kawaida tu, mcheshi kwa sana! Ghafla alipoingia JK, steve Nyerere akaanza kuangusha kilio! Kilio cha zaidi ya mtu aliefiwa na ***** ama mke! Steve Nyerere akaanza kugalagala, mbele ya rais! Akalia!
Akalia!
Akagalagala!
Akazimia!
Mara baada ya rais kuondoka, akarudia hali yake ya kawaida!
Kuanzia pale nikawa Nimeshaelewa kuwa ubongo wa wasanii wengi sana hauko sawa!
Anatia huruma sana ukimsikiliza kwa makini unaweza ukatokwa na machozi kwa namna alivyo empty-headed.
Kumbe huyu jamaa nae ni empty hivi ?
Mbona unageneralize ? Mmoja tu assbabibishe wote waoze?
hiyo kwenye red ni ishara tosha.
sentensi ilipaswa kuwa "Mmoja tu hawezi kusababisha wote waoze au mmja tu ndiye asababishe wote waoze?"