Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Yupo kwenye best male East AfricaAlikiba hajawa nominated?
Yupo kwenye best male East Africa
Pamoja na darasa category moja
new comer mwenye xmass kibao....huyu ndio anapotezwa hiyo.Huu ni upendeleo, mbona Ali Kiba hakuwekwa japo kwenye category ya New Comer?
Haukuwepo tz wwLady Jaydee kufanya nini remarkable 2016/2017 mpaka awe nominated? Damn....
Yupo vzr sana labda hufuatilii tuTudy thomasi eti sound engeneer of the year?!!
Haukuwepo tz ww
hahaaaaa,ajeeeHuu ni upendeleo, mbona Ali Kiba hakuwekwa japo kwenye category ya New Comer?
Daaa, ila wewe hiyo Avatar yako hiyo mtihaniii
Sound engeneer ni taalum ye kasomea chuo gani?Yupo vzr sana labda hufuatilii tu