Wasanii,Diamond Platnumz,Rayvanny, Tudy Thomas na Darasa waongozwa kutajwa tuzo za AFRIMMA-2017

Sijaelewa kabisa wanatumia vigezo gani kwenye hizi tuzo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimemuona KOMANDO & KOMANDO J D

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa naona waandaaji wanatumia akili zao,sio kipindi cha nyuma walikuwa wanatumia akili zao kwa kuelekezwa.
 
Tuddy Thomas..?[emoji23][emoji23][emoji23] hawa waandaji hawafanyi hata tafiti ya kawaida.
 
Diamond hawezi toboa kipengele cha song of the year ,mbele ya IF ya Davido, come closer ya wizkid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…