Wasanii gani kutumbuiza ziara ya obama dar???

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Sijasikia promo za wasanii watakaotumbuiza ujio wa obama apa tz
 
ngoja tusubiri habari kutoka kwa heaven on desert. lakini kwenye shughuli kama hizi wale wa ngoma za asili ndio uhusika zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti mwenyewe wa wasanii ndo atakuwapo front line
 
Acheni ujinga mmekalia uhayawani tuu,hapa tulipo tushauzwa na sisi kilichobaki ni kutumikishwa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…