mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Jun 18, 2014 #21 Yeye mwenyewe mbona hana nidhamu au anafikiri maneno /matusi anayoongea bungeni,kwanza aanze yeye na timu yake ya akina Mwigulu,pia angesaidia kama angewaambia wenzako huko magambani
Yeye mwenyewe mbona hana nidhamu au anafikiri maneno /matusi anayoongea bungeni,kwanza aanze yeye na timu yake ya akina Mwigulu,pia angesaidia kama angewaambia wenzako huko magambani