Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

Wamepigika Sana hao msimu wa Corona acha vijana wapate ugali hapo,upande wa pili wenyewe mmebaki 12 ndo muimbiwe na wasanii wote hao
 
Naona ila propaganda kwamba msanii aki-side na CCM anapoteza mashabiki imejifia kibudu.
 
Ccm imekuwapo madarakani tangu uhuru, lakini mabadiriko makubwa yameonekana miaka mitano tu iliyopita. Ajabu wapinzani wanaonekana ndio tatizo kuu la nchi hii.!!. Na tatizo lenyewe (ccm), linasifiwa sasa
 
 
Hivi **** msanii aliyetoa wimbo wa kizalendo kama zile za kina Shaggy - Strength of a woman, BOB Marley ---Africa Unite, Nas -- Iknow I can, Michael Jackon-- Heal the World, Heal the world n.k Au zao ni Huno na kusifia Chama?
 
Chadema waimbiwe nyimbo za kusifiwa kwa lipi la maana walilolofanya?

Kama wabunge wao tu walikisaliti chama chao na kujiunga na CCM sasa watatushawishi vipi tuamini kama chama chao kipo vizuri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…