Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

NASHANGAA WASANII WANAPEWA KIPAUMBELE
SANA WAKATI HAWANA IMPACT YOYOTE KUBWA KWENYE JAMII....
NGUVU HIZO WANGEWEKEZA KWA WAKULIMA, WAJASIRIAMALI INGEKUWA BORA ZAIDI
KILA SIKU BONGO FLEVA BONGO FLEVA

ova
 
NASHANGAA WASANII WANAPEWA KIPAUMBELE
SANA WAKATI HAWANA IMPACT YOYOTE KUBWA KWENYE JAMII....
NGUVU HIZO WANGEWEKEZA KWA WAKULIMA, WAJASIRIAMALI INGEKUWA BORA ZAIDI
KILA SIKU BONGO FLEVA BONGO FLEVA

ova
Kumbuka hili ni tukio linalotokea mara moja kila baada ya miaka mitano, hivyo kuwashirikisha wasanii wetu ni jambo jema. Wakulima na sekta nyingine wapo kwenye bajeti kila mwaka
 
Mbona upande wa pili Kuna wasanii wakubwa tu ,wenye nafasi kubwa kubwa, ( Sugu na profesa ) waimbe tu kusifia upande wa pili tutafurahi sana
 
Kuimba kuhusu kitu flan huo ni uhuru wa mtu, haiwezi kuwa aibu wakat mtu anafanya kile alicho kiamua kwa mapenzi yake
Tutakutana nao pale kwny bonyeza BIO yangu sijui Nimeachia 'IPIII' yangu ina nyimbo 6 aisee nitanyoosha mtu pale.
 
Uchaguz ukiisha show zao wakithubutu kufanya wataona matokeo.... Wamejitengenezea zengwe

Ova
Mkuu wewe tulia tu,kwny shoo zao itabidi wawe wanakodishiwa malori na polepole.
 
Chadema waimbiwe nyimbo za kusifiwa kwa lipi la maana walilolofanya?

Kama wabunge wao tu walikisaliti chama chao na kujiunga na CCM sasa watatushawishi vipi tuamini kama chama chao kipo vizuri ?
Barakoa inafanana na titi lililokatwa.
 
Kabisa unategemea hawa vichwa maji unaowaita wasanii wachagize (influence) maamuzi yako!

Acha wajitafutie ugali wao, kuwa mpinzani hadharani awamu hii ni dhambi kubwa.
Hungry Lion Never Sleep
 
Kale ka nyimbo ka alikiba ka kuisifia CCM dodo katam sana.
 
Hivi wakitunga kusifia CCM bila kutaja au kuwananga wapinzani hawatalipwa?
 
Iko wazi mameneja wa wcb na Diamond ni Ccm, hivyo usitarajie zuchu,rayvany,diamond kuimba tofauti na kusifia ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…