share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Mwisho wa ubaya ni aibu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa kurukaruka na mauno yenu ni 28/10/2020.
Kumbukeni CCM ni ileile. Haijabadilika. Ninyi si wa kwanza kudhulumiwa na CCM. Msipodai chenu mapema mjue ndiyo imetoka hiyo. Safari hii hatutawaonea huruma hata mtakapokuwa wagonjwa.
Hatutawachangia hata senti kumi mkitembeza bakuli. Njie furahini kukata miuno na kula ubwabwa maharage ya CCM kipindi hiki cha kampeni. Baada ya kampeni, muuguze majeraha, na kutunza mimba mnazotungana wakati huu kwenye mikesha. Hapo CCM hamtaiona tena.