MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Naona trend ya matukio makubwa ya muziki ya wasanii wengi wanaofanya vizuri zama hizi hasa wanapozindua albums zao wanafanikiwa kufanya matukio makubwa lakini weakness kubwa ni wengi kutoalika watu waliobeba tasnia ya muziki miaka mingi kufika ilipo.
Kama hata hao waandaaji hawaoni umuhimu wa kushauri hawa wasanii waalike legends maana yake wanajitambua na ku appreciate watu waliofanikiwa kuupigania muziki kipindi ukiwa haukubaliki sana?
Unafanyaje tukio kubwa la muziki kwa haka ka industry ketu kadogo humualiki mmoja wapo wa legends kama Juma Nature, P Funk, Boniluv, John Dilinga, Master J, Jay Mo, Steve B, Zay B, Taji Liundi na kuendelea? Walau hata a little surprise ya legends ambao ni kama wanasahaulika!
Hivi mtu kama Dj Steve B ambaye anajiuguza muda mrefu katika zile list zenu za invited ukimuweka unapoteza nini? Hili game liliwekwa kwenye mabega na uvumilivu mkubwa msione leo mna enjoy vitu from no where!
Why mialiko isichungulie few sects kama Djs , producers, wasanii, dancers etc wa kitambo walau ku appreciate? Kama tusipojenga utamaduni wa kuwapa heshima waliotangulia tutaheshimu vipi future yetu?
Unaonaje a little surprise from Solo Thang? Au Daz Nundaz waibuke wote wapige surprise ya nyimbo moja? Why akili zenu ni watu wanao trend tuuuuu? Gigy money and alike? Sawa waitwe ila walio nyuma ya hizi events fikirieni zaidi.
Hatujifunzi US wanavyoheshimu legends wao bila unafiki? Every big events utaona kuna icons wanaalikwa kwa heshima tu! Hebu watu wa burudani badilikeni kidogo [emoji34]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app