Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Ndio nini hiyo mkuu?Wanachangia "gridi ya taifa"...
Jamanii Mkuu hujui gridi kuu kwelii???au naww msanii[emoji12]Ndio nini hiyo mkuu?
Lakini mkuu mbona hata upimaji wa afya tu huwa hawajitokezi kuhamasisha kwa kutoa mfano wa kupima kama wafanyavyo kwenye matamasha mengine?Huwezi kuchukua Damu ya msanii ukamuwekea mtu mwenye akili timamu
Hata mimi SITAKI
Nimekupata mkuu, ila sidhani kama wasanii wetu wako huko kwenye grid kuu.Jamanii Mkuu hujui gridi kuu kwelii???au naww msanii[emoji12]
Mkuu una maana wanaogopa majibu tu, mbona wanaonekana wako fit kabisa?wanaogopa majibu sio unajua wanaogopa majibu kwa waliowapitia
hakuna aliyefit labda wakna marlaw ,besta ,labda hawa wapo poa ila hawa wengne uchwara peku kutoka nao ni balaaMkuu una maana wanaogopa majibu tu, mbona wako fit kabisa?
Mh!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]Nimekupata mkuu, ila sidhani kama wasanij wetu wako huko kwenye grid kuu.
Aisee mimi sijawahi kusikia hata mmoja akisema yuko kwenye grid.kwenye grid wapo weng saa
Lakini mkuu mbona hata upimaji wa afya tu huwa hawajitokezi kuhamasisha kwa kutoa mfano wa kupima kama wafanyavyo kwenye matamasha mengine?
Aisee noma sana.hakuna aliyefit labda wakna marlaw ,besta ,labda hawa wapo poa ila hawa wengne uchwara peku kutoka nao ni balaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umetisha mkuuHuwezi kuchukua Damu ya msanii ukamuwekea mtu mwenye akili timamu
Hata mimi SITAKI
mkuu nimecheka xn, ni kweli kabisaHuwezi kuchukua Damu ya msanii ukamuwekea mtu mwenye akili timamu
Hata mimi SITAKI