Wasanii matajiri zaidi barani Afrika

Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
haiwezekani??
 
Tunaposema net worth hatumaanishi only cash iliyopo benki bali thamani ya mali anazomiliki pamoja na cash iliyopo benki..kwa ninavyojua mimi ngoja wajuvi waje
 
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
Kwahiyo hutaki au ?
Dogo ana hela
 
Kwa ela iyo dogo angenunua rolls royce
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] net worth means sio pesa aliyonayo bank ila ni jumla ya thamani za Pesa na Mali anazomiliki...!! INAWEZA fika labda hizo bil 15 maana jamaa pesaa anazo aisee
ila kweli ukijumlisha ile crew nzima ya watu pale wcb magari na kila kitu jamaa utajiri ana.
 
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
Inawezekana mkuu.

Sio cash ni net worth kutokana na vitega uchumi yake kama vile wasafi TV and radio ana hisa, wasanii anaomiliki,mali zisizohamishikaa, endorsement etc
 
Hiyo list haiwezi kukamilika bila kuwajumuisha Psquare kwa ukwasi walio nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…