Wasanii matajiri zaidi barani Afrika

Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?

Mali pamoja na Cash ndio hutumika kutambua Networth ya mtu.
 
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
Hawezi kua na hiyo pesa..watu si wanajiongeleshaga tu
 
Hiyo list haiwezi kukamilika bila kuwajumuisha Psquare kwa ukwasi walio nao.

Ni watu waliotengana miaka ya hivi karibuni mpaka sasa kuna utata juu ya ugawanyaji wa mali walizochuma, Hivyo ni ngumu kutambua kiasi cha mali anazomiliki kila mmoja.
 
Wana combined networth ya zaidi ya usd milioni 150. Hata kama wakigawana bado ni wasanii wachache sana Africa wanaoweza kufikia hizo figure.
 
Ndio haiwezekani.. ww tupe bank statements pamoja na assets anazozimiliki ikiwa sambamba na mikataba ya kibiashara..
mimi ndo nnaemtunzia mpaka nikupe??

wewe unaemtuzia na unajua kila kitu chake that's why unapinga ndo utupe sababu unajua mali zake zote.

no offence, no more replies.
 
We zwazwa eeh sasa unasemaje ana utajiri huo ingali hujui?
 
Wana combined networth ya zaidi ya usd milioni 150. Hata kama wakigawana bado ni wasanii wachache sana Africa wanaoweza kufikia hizo figure.
Acha,hizo Man kwahyo wamempita hadi Akon au?
 
We zwazwa eeh sasa unasemaje ana utajiri huo ingali hujui?
nenda ukanionyeshe sehemu niliyosema Diamond ana utajiri huo.

acha kukurupuka mdogo wangu, kasome vizuri.
 
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?

Mkuu watizame tu hao. Wanazichukulia poa kweli hizo pesa
 
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
Unajua maana ya networth??
 
Diamond Worth 7m USD? Are you serious au unatania? Hivi unajua 1m USD ni sawa na 2.2B Tsh? Kwahiyo unatka kuniambia Diamond ana mzigo wa 15B Tsh? Unajua B Tsh ilivyo?
Wakisema thamani yake ni 7m $ haimaanishi ni pesa alizonazo
 
4. stiv nyenyere
5. Wema
6. JB
7.Ilene uoya
8. Dogo Jinga
 
Kumiliki vibanda vi4 vya milioni 25 mwananyamala,sehemu ya kuweka mgongo madale,gari la mkopo x6,vi% kwa Kusaga kutumia brand ya WCB,tangazo la pepsi ndio ana Networth ya 7m USD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…