Wasanii Mjifunze Kwa Ney Wamitego Rais Wa Kitaa Jamaa Yupo Vizuri Kwa Kulipa Fadhila

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Ney Wamitego ameamua kulipa fadhila kwa kupiga shoo za chimbo hadi chimbo akijua yakwamba hata kijijini kunamashabiki zake ambao tunamsapoti

Ni katika Machimbo ya Nyangalata, na Nyandolwa Shinyanga amejaza shoo safi kabisa akakunja pesa zake na juzi tu alikuepo hapa kwenye Kisenta kidogo cha Lulembela kakunja hela zake kaenda Ushirombo kakunja hela

Kifupi jamaa nimependa staili zake anapambana sana

Yudah Exalioth
Jamiiforums
Geita
 
Ney anajitongoshesha sana kwa freemason lakini wanamkataa yaani anatamani sana,Mara ajiite freenation,Mara nyimbo za kumsifia lusifa,Mara video za madamu damu,Mara sijui nn.
Mwenye connection na kuzimu straight akakutane na malkia wa pwani amsaidie.
Anatamani sana umaarufu haupati.
 
Eti yeye ni freemasons
 
Freemason ni secret society 😁😁
 
Wasanii wengi ambao hawakai kwenye majukwaa makubwa wanaenda enterior kupiga show.
Ney wa mitego.
Juma nature.
Tundaman(haswa morogoro)
Best nasso(Mwanza na kagera)
Nk. Huko ndipo nawapata hela za magari na kupanga au kujenga mijini.
 
Kawa brother K hata kweny kibanda vya pombe anapiga show , usidanganywe kimataifa pagumu sana.
 

Nasikia kwa hao jamaa ukiingia lazima ufirwe kwanza ndio utajua kutunza siri kwasababu na wewe siri zako wanazo. Nasikia kina Jay-Z wote, u Gansta wa bure washafirwa
 
Mmhhhh
 
Show za kusubiri Fiesta na Wasafi festival utakula wapi kipindi unazisubiri na ukizingatia hits mjini ni nyingi.

Kina Nay ambao wanajua huko bush bado ni mastar ndo wamegundua hiyo njia kupiga jela maana mijini pagumu mno kwao.
 
Umaarufu mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…