Wasanii: Mnajiita kioo cha jamii, nielezeni maana yake

Wasanii: Mnajiita kioo cha jamii, nielezeni maana yake

KALABASH

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
498
Reaction score
210
Nasema mmejiita kioo cha jamii kwa sababu sijaiona taarifa rasmi inayosema ninyi wasanii wa muziki, filamu etc ni kioo cha jamii.

Kwa mbali sana ningeweza kuelewa wanariadha au wacheza mpira wa miguu wangejiita kioo cha jamii maana hawa huenda nje ya nchi yetu kutuwakilisha.

Kwahiyo wanachofanya huko nje ndiyo hutoa taswira ya wa Tanzania ni watu wa aina gani?
 
Kioo cha jamii hata kushabikia siasa za makundi,?ninachoona japo ni kuanguka kwa kaz zenu zanaa kwa sababu ya kujikomba kwa wanasiasa
 
point yako ni nini hasa? kwahiyo Ngasa anavyocheza mpira ndio watz wote tunavyocheza? N why not anavyoimba Diamond isitoe taswira ya watz tunavyoimba?
 
sitashiriki wala kununua au kuangalia kazi za wasaniii woote waliokwenda jangwani
 
Ukishajua kazi ya kioo ndo utaelewa kwanini wasanii wanaitwa kioo cha jamii.kioo kazi yake ni kuakisi,kwamaana hyo wasanii kupitia kazi zao za sanaa wanaakisi hali ilivyo kwenye jamii
 
mirror of society hata ww ni kioo cha jamii
 
Back
Top Bottom