Nasema mmejiita kioo cha jamii kwa sababu sijaiona taarifa rasmi inayosema ninyi wasanii wa muziki, filamu etc ni kioo cha jamii.
Kwa mbali sana ningeweza kuelewa wanariadha au wacheza mpira wa miguu wangejiita kioo cha jamii maana hawa huenda nje ya nchi yetu kutuwakilisha.
Kwahiyo wanachofanya huko nje ndiyo hutoa taswira ya wa Tanzania ni watu wa aina gani?