Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mpaka sasa nimeona msanii mmoja tu ndio ampost akipiga kura, Ali Kiba, wengine nyiiiii!
Mnajua kulamba nyayo tu na kula hela kupitisha ajenda za kipuuzi linakuja jambo la maana huoni mtu, waleeee wanakula kona.
Au sababu kwenye kupiga kura hamna kujishaua shaua? Useless kabisa.
Halafu mkikwama ndio mnakumbuka wananchi, hawa hawa mnaotumia juhudi na kuuza utu wenu kuwaangamiza. Ifike wakati watanzania tususie tu kazi zenu mpaka kieleweke.