mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,034 Reaction score 4,792 Jul 10, 2020 #1 Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
Wasanii wa fani mbalimbali ambao mmefanikiwa kutusua kimaisha, kuleni starehe huku mkijua kuwa Kuna kesho, tumechoka kuchangia wasanii kwa ajili ya matibabu.
Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,436 Jul 10, 2020 #2 sasa huku umeambiwa ni kijiwe cha wasanii ulete malalamiko yako?
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Jul 10, 2020 #3 Leo umemchangia nani mpaka ukaja kulalamika huku?.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 10, 2020 #4 Haya wamekusikia lol