amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 914
Steve Mangere, maarufu kama Steve Nyerere katika kipindi cha wasanii na siasa cha StarTv jioni hii amesema wasanii na wanasiasa ni walewale maana wote wanaongea uongo 80% na ukweli 20%.
Pia wasanii wanafikishia ujumbe kwa audience kama wanavyofanya wanasiasa.
Una maoni gani kwa kauli ya msanii huyu?
Pia wasanii wanafikishia ujumbe kwa audience kama wanavyofanya wanasiasa.
Una maoni gani kwa kauli ya msanii huyu?