Katika kipindi cha
Wasanii na Siasa cha StarTv jioni hii amesema wasanii na wanasiasa ni
walewale watu maana wote wanaongea uongo 80% na ukweli 20% pia wasanii
wanafikishia ujumbe audience kama wanavyofanya wanasiasa.
Una maoni gani kwa kauli ya msanii huyu?
hawa ni wachumia tumbo tu,wanaosema wenyewe kuwa wapo kimaslahi zaidi,wanakiri kukimbilia ccm kusaka fursa tu na kuchumia matumbo yao.
Awe ni Mwanasiasa au Msanii Anachoweza kukwambia ukweli
"labda ni jina lake tu" japo Mwigulu Nchemba na Mulugo wanaongopa hata majina yao.