Big dady 11
Senior Member
- May 21, 2023
- 109
- 128
Mambo vp wakuu.
Wasanii mama kawabeba sana, mikutano yote mpo nae anawakusanya wasanii wote wa muziki na uigizaji.
Wengine Hadi china Kawapeleka lakini mbona na nyie hamjitoi kwake kwakutumia sanaa yenu?
Mnaishia kupost tu Instagram kwel.!!!!!
Wasanii tengenezeni documentarys za kuonyesha mafanikio na kazi alizozifanya mama na sio sifa za insta, nikiacha unafiki mtaani akitajwa mama ni misonyo tu na watu ulaumu..
Sasa tumieni sanaa yenu kuelimisha jamii iamini kuwa kwel mama anaupiga mwingi.
ACHENI kufanya documentary au content za kuonyesha moja kwa moja ni uchawa.
Nmeona tv shows Kuna vipindi huonyesha maendeleo alyoyafanya mama ila vipo kichawa sana binasfi wataanzania wa sasa awawezi kuviangalia mda wote ni Asante mama asant mama..mitano tena mitano tena..
Ngoja niwapeni mbinu chache
Waigizaji andaeni tamthilia yenye mahudhui ya kisiasa na ubaguzi wa kijinsia kwenye uongozi. ( Content kama hii inauchawa wa indirect hivyo ata mtu wa chama pinzani atatazama na taratibu unamshawishi bila kumshawishi direct).
Aandaeni script mpelekeeni mama atoe fungu muanze Kaz ..
Tamthilia hiyo iruke kuanzia mwez wa 6 ad 12.
Tengenezeni short films za politics ziwe zinapatikana mitandaoni. Wapiga kura wengi wasio kuwa na chama wanapatikana kirahisi mtandaoni.
Kwenye hayo yote usimtaje mama Wala kutaja chama lakini fanya content mtu akiangalia ajue lengo ni lipi.
Kwa wale wa makala( documentary)
Achaneni na iZi makala za watangazaji kwnda site kwny madaraja au majengo ya serikali na kuanza kusifia tu mama mama mama... Ata kikiwa kitu Cha maana wataanzania wanaona ni uchawa na kuupuuzia.
Mfano unataka makala ya kuonyesha miundombini ya barabara au maji.
Anzia mbali kwanza ifanye Kama simulizi ya mtanzania Fulani.
Km ni maji onyesha ni shida gan anapitia iwe km short film hivi..
Unamvutia atamtazamaji kujua what next..( maana kiasili binadamu tunapenda kufatilia maisha ya binadamu wenzetu )
Sio makala zenu za shots za drones zikionesha palivyokuwa mwanza na palivyokuwa sasa imeisha iyo kinachofata ni Asante mama.. mama anaupiga mwingi..mitano tena.
.
Wasanii umizeni vichwa sio mnafurahia tu kuvaa nguo za kijani tu Hadi mnapewa kupaumbele basi mjue wanahitaji msaada wenu.
Tanzania ya sasa ukitaka kuwafikia vijana na kinamama kwa haraka andaa film documentary.. tamthilia.. online short films. Tv shows.
Ila hakikisheni azikai kichawa.
Njooni niwape ideas mkafanya maana na vitu vingi kichwani na naona avifanyiki sasa kuliko kubaki navyo kichwani njoo Nkupe idea ukaifanye uisaidie chama chako..
Videographer
Photographer
Content creator
Digital marketer
Graphics designer
watsapp 0692477610