Wasanii nguli wa BongoFleva nchini wamekutana tena katika AFRIMA AWARDS

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,603
Reaction score
1,135
•Wasanii wawili manguli wa Bongofleva nchini, Alikiba na Diamond Platnumz wamechaguliwa kuwania Tuzo za AFRIMA AWARDS zitakazofanyika Tarehe "13th-15th of November" in Nigeria.



•Wasanii hao wamekutana kwenye categories 4 kati ya 5,ambazo ni....

●ARTISTE OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○ALIKIBA
○DIAMOND PLATNUMZ

●SONG OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○ALIKIBA - MWANA
○DIAMOND PLATNUMZ - NASEMA NAWE

●SONGWRITER OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○ALIKIBA - MWANA
○DIAMOND PLATNUMZ - NASEMA NAWE

●BEST MALE EASTERN AFRICA-2015
○ALIKIBA - MWANA
○DIAMOND PLATNUMZ - NASEMA NAWE

●BEST ARTISTE IN AFRICAN COTEMPORARY-2015
○DIAMOND PLATNUMZ


•Uku wote wawili wakiwainua maproducer wao,kama inavyoonekana hapo...

●PRODUCER OF THE YEAR IN AFRICA-2015
○MAN WALTER - MWANA PRODUCER
○TUDD THOMAS - NASEMANAWE PRODUCER

LINK:http://www.afrima.org/index.php/med...-music-awards-afrima-2015-final-nominees-list

VOTE:http://www.afrima.org/index.php/voting
 
Nilikuwa sijui Mwana ina album, ina nyimbo zipi?

Nitaipata wapi nizisikilize?
 
Nilikuwa sijui Mwana ina album, ina nyimbo zipi?

Nitaipata wapi nizisikilize?

Kuwa muelewa...album sio nyimbo lakini album huwa inabebwa na jina la hit song iliyopo ndani yake...kwa mfano:alikiba alitoa hit song ya cinderella mwaka 2005 na akaja kurelease official album kwajina hilohilo la CINDERELLA mwaka 2007 akiwa G-record...kwajiyo tambua KIBA atakuja achia official album ya MWANA kutokana na hiyo hit song ya MWANA itakayobeba jina la album...ukitaka kuamini hao AFRIMA hawapo wrong kwenye ilo...ata iTunes pia wanatambua kuna album ya MWANA...
 

Attachments

  • Screenshot_2015-07-29-14-08-09.png
    82.9 KB · Views: 570
Naona paka wazungu wanakuwa kama kili music sasa....kuna watu hawana vigezo.....ha haaa
 
Naona paka wazungu wanakuwa kama kili music sasa....kuna watu hawana vigezo.....ha haaa

Yani nyie TUZO akiwepo KIBA tu kwenu hazifai na hamkosi cha kuongea na lazima mtaziponda,Na bado mwaka huu...mtaelewa tu maana hakuna namna tena.kumbuka mlisemaga "Ooh!..mtaishia killi awards tu"...Aya sasa upepo umebadilika huu.pia bado zimebaki tuzo mbili kubwa kwa wasanii wa africa kurelease nominees wao!
 

Ha ha... kuna watu wakiwepo tuu ujue hizo tuzo zishapoteza quality na legitimacy yakeee
 
Album of the year kiba katoa album mwaka jana
 

Acha uongo ww unajua maana ya album kweli
 
Najiuliza tu kwann kiba yupo kwenye category ya album of the year wakati pionare anadai hiyo album hajaitoa bado 😏😏....hao afrima wamejuaje kwamba hii albam ni kali wakati bado mwenye nayo hajaitoa?!!
Mwenye kujua anijuze basi...
 
Najiuliza tu kwann kiba yupo kwenye category ya album of the year wakati pionare anadai hiyo album hajaitoa bado ....hao afrima wamejuaje kwamba hii albam ni kali wakati bado mwenye nayo hajaitoa?!!
Mwenye kujua anijuze basi...

Umeelewa tofauti mkuu!...lakini tambua wale walioandaa hizo nominations ni experts wa AFRICAN MUSIC INDUSTRY...na hawachagui kirahisi rahisi bila kujiridhisha ivyo nakushauri kama bado una maswali jaribu kutafuta zaidi kwa wataalamu wa muziki kwamba ni kwanini wameiweka iyo MWANA kwenye category iyo...namimi nikifanikiwa kujua deeply nitakufahamisha lakini naamini jamaa hawawezii fanya mistake kwenye ishu ndogo kama hiyo!
 
waulize afrima na iTunes watakwambia

Yani mkuu jamaa wanabishia uzoefu hao...kama huyo kedrick hajawai kukubali ishu yoyote ya kiba sana sana huwa anaishia kuumbuka tu...maana menzie kidingi aliwai mwambia safari hii kiba lazima apate nominations za nj'e ya TZ akabisha kwa kusema "HAWEZI KUPATA YULE...KWA NYIMBO GANI ALIYOIMBA",sasa siku si nyingi kaanza kuumbuliwa na AFRIMMA AWARDS,mara AEA AWARDS nasasa bado ni mwendelezo wa kuumbuka kwake tu maana kwenye iyo "AFRIMA AWARDS"...KIBA kapata nominations tena kamzidi huyo mondi wake.
 
Ha ha... kuna watu wakiwepo tuu ujue hizo tuzo zishapoteza quality na legitimacy yakeee

Hahaahaaa!...aya bana mkuu,ila najua mwaka huu mtazikataa tuzo zote kwa kusema ni low quality coz Of KIBA...na bado KIBA anakaba hadi penalty na atabanana na huyo MONDI hadi kwenye TUZO MBILI ZILIZOBAKI ZITAKAZOACHIA NOMINEES WAO NDANI YA WIKI IJAYO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…